Mkaa wa kudumu mara tatu zaidiMakachia BenardDec 19, 20191 min readmajaribio tuliyofanya kiwandani yanaonyesha wazi kuwa mkaa wetu wa kuniSMART unadumu mara tatu zaidi ya mkaa wa kawaida. kwa garama ndogo mtu yeyote anaweza kupika chakula kingi na kutumia mkaa kidogo tu
Comments