top of page
Search

WASICHANA WAJIFUNZA JINSI YA KUTENGENEZA KUNI MBADALA

Nov 4, 2021
1 min read

wasichana 8 kutoka shirika la EBLI wamejiunga na mafunzo ya utengenezaji kuni mbadala katika kiwanda cha chabri . Mafunzo haya yatafanyika ndani ya miezi mitatu na inategemewa watakuwa wamejihamasisha vizuri katika utengenezaji wa kuni mbadala.



 
 
 

Comments


Bar Chart
kuniSMART_300dpi.jpg
CHABRI ENERGY COMPANY LTD

For Our Environment/ kwa Mazingira Yetu

For Our Community/ kwa Jamii Yetu

For Our Family/ kwa Familia Yetu

​

Email: chabrienergyltd@gmail.com

Weka order yako kwa kupiga namba:/place your order by calling this number+255 757 156338 

​

© 2020 - kuniSMART

bottom of page