Tokomeza moshi jikoni
shule ambazo wanatumia kuniSMART briquettes wamekiri kwamba sasa tatizo la moshi jikoni ni historia. kuni mbadala zitokanazo na mabaki ya miti/mbao na taka za mimea ni suluhisho la tatizo la nishati ya kupikia mashuleni. wasiliana nasi tukuhudumie.


Comments